Dhabihu (kutoka neno la Kiarabu) ni kitu, sanasana mnyama, kinachotolewa kama sadaka kwa minajili ya mizimu ama tambiko. Mahali penyewe panaitwa pia dhabihu au, vizuri zaidi, madhabahu,

Dhabihu ya mbuzi wakati wa jando.

Katika Kanisa Katoliki ni jina la vitu vinavyotolewa altareni wakati wa Misa (mkate na divai yenye maji kidogo) kwa ajili ya sadaka ya ekaristi.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.