Dio Mtendamiujiza
Dio Mtendamiujiza (kwa Kigiriki: Δίος, Dios; Antiokia, Sirya, karne ya 4 – Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 430 hivi) alikuwa mmonaki, halafu padri abati wa monasteri ya Waakemeti aliyoianzisha jijini Konstantinopoli walioimba Zaburi mfululizo usiku na mchana.[1]
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |