Dioskoro II wa Aleksandria

Dioskoro II wa Aleksandria (alifariki 27 Oktoba 517) kuanzia mwaka 516 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 31 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Oktoba.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.