Dodati (pia: Diethardt au Theodard; Speyer, Ujerumani, 618 hivi - Speyer, 670 hivi) alikuwa mmonaki padri wa utawa wa Wabenedikto ambaye akawa askofu bora wa Tongeren-Maastricht kuanzia mwaka 663 hadi kifodini chake[1].

Mt. Dodati, kanisa kuu la Liege, Ubelgiji.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Paul Burns, Butler's Lives of the Saints, September (2000), pp. 90–1.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.