Dodoni wa Wallers
Dodoni wa Wallers (Vaulx, leo nchini Ufaransa, 682 hivi - Wallers, 760 hivi) alikuwa mmonaki maarufu kwa utakatifu na miujiza yake.
Baada ya kulelewa na Ursmari, alipofikia umri wa miaka 24 alitumwa naye kuongoza monasteri huko Wallers, halafu akawa mkaapweke hadi kifo chake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Jean Pierre Hamblenne, Saintes et Saints de Belgique au 1er millénaire, 2e édition, Altair, 2014 , (ISBN 9782875940148)
- Sanctoral des RP Bénédictins, éditions Letouzey & Ané, 1952
- Acta Sanctorum Belgii, tome 6, p.378.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |