Elbrus (kwa Kirusi Эльбрус) ni mlima mkubwa kabisa nchini Urusi na Ulaya kwa jumla (ingawa wengine wanaupanga upande wa Asia).

Mlima Elbrus mnamo Mei 2008.

Urefu wake ni m 5,642.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Elbrus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.