Elia, Paulo na Isidori
Elia, Paulo na Isidori (walifariki Cordoba, Hispania, 17 Aprili 856) walikuwa padri mzee kutoka Beja (Ureno) na wamonaki vijana waliofia pamoja imani ya Kikristo kwa kuuawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Aprili[2] au 30 Aprili[3].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/49840
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Οἱ Ἅγιοι Ἰσίδωρος, Ἠλίας καὶ Παῦλος οἱ Μάρτυρες. 30 Απριλίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |