Eliabu ni jina la watu watatu katika Biblia.

Mmoja alikuwa kiongozi wa kabila la Zebuluni (Israeli) anayetajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika kitabu cha Hesabu, sura ya 2, mstari wa 7.

Mwingine alikuwa mwana wa Palu na baba wa Nemuel, Dathan, and Abiram katika kitabu hicho, 26:8-9.

Mwingine tena alikuwa mtoto wa kwanza wa Yese, na hivyo kaka wa mfalme Daudi (Kitabu cha Kwanza cha Samueli 16:7).

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eliabu kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.