Elias John Kwandikwa
Elias John Kwandikwa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ushetu kwa miaka 2015 – 2020 [1] akarudishwa mwaka 2020 na kuteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi[2].
MarejeoEdit
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
- ↑ Magufuli’s unveils his cabinet 30 days after taking oath (en).
- ↑ https://peoplepill.com/people/elias-kwandikwa/
Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |