Kibarabara

(Elekezwa kutoka Emberizidae)
Kibarabara
Kibarabara-kaya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Emberizidae (Ndege walio na mnasaba na vibarabara)
Vigors, 1831
Jenasi: Emberiza
Linnaeus, 1758
Ngazi za chini

Spishi 43; 17 katika Afrika:

Vibarabara au bendera ni ndege wadogo wa familia ya Emberizidae. Wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu. Kichwa chao kina bombwe bainifu kwa kawaida. Vibarabara wanatokea Afrika, Asia na Ulaya. Spishi nyingine za familia hii zinatokea Amerika. Vibarabara hula mbegu lakini hulisha makinda wadudu. Hulijenga tago lao kwa manyasi na nyuzinyuzi ardhini au katika kichaka kifupi. Jike huyataga mayai 3-5.

Spishi za Afrika

hariri

Spishi za Ulaya na Asia

hariri