Emebati (pia: Ablebati, Ablebertus, Emebertus; alizaliwa katika eneo la Brabant - akafariki Ham, leo nchini Uholanzi, nusu ya kwanza ya karne ya 7) alikuwa askofu wa tano au wa sita wa Cambrai na Arras, leo nchini Ufaransa[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.