Emmy Wasirwa

Mhandisi wa matibabu wa Uganda, mtaalamu wa afya ya umma, mjasiriamali na mtendaji mkuu wa shirika


Emmy Wasirwa (alizaliwa 20 Disemba 1972) nchini Uganda, ni mhandisi wa matibabu, mtaalamu wa afya ya umma, mjasiriamali na mtendaji mkuu wa shirika, ambaye ni mwanzilishi na mwenyekiti mtendaji wa biashara ya nishati safi, iliyoko Kampala, mji mkuu na jiji kubwa la Uganda. [1]

Emmy Wasirwa
Amezaliwa 20 Disemba 1972
Uganda
Nchi Uganda
Kazi yake Mhandisi wa matibabu, Mtaalamu wa afya na Mjasiriamali

Historia na elimu hariri

Alizaliwa Mkoa wa Mashariki mwa Uganda, tarehe 20 Desemba 1972. Alisoma udaktari katika Shule ya Tiba Chuo Kikuu cha Makerere kuanzia 1983 hadi 1998. Aliutumia mwaka 1999, kufanya mazoezi yake kwa ajili ya leseni ya awali. [2]

Marejeo hariri

  1. Nampewo (3 August 2013). Uniform gas cylinders remain a distant dream despite consumers' complaints. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-01-06. Iliwekwa mnamo 4 January 2018.
  2. Emmy Wasirwa (5 January 2018). Emmy Wasirwa:Director And Co-founder of Wana Energy Solutions Limited. Linkedin.com. Iliwekwa mnamo 5 January 2018.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmy Wasirwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.