Eneo bunge la Nyeri Mjini
(Elekezwa kutoka Eneo bunge la Nyeri Town)
Eneo bunge la Nyeri Mjini ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri.
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge
haririMwaka wa Uchaguzi | MP [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Waruru Kanja | KANU | Mfumo wa chama kimoja. |
1990 | Waihenya Ndirangu | KANU | Uchaguzi mdogo, Mfumo wa chama kimoja. |
1992 | Isaiah Mwai Mathenge | Democratic Party | |
1997 | Wanyiri Kihoro | Democratic Party | |
2002 | Peter Gichohi Mureithi | NARC | |
2007 | Esther Murugi Mathenge | PNU |
Wards
haririWards | ||
Ward | Wapiga kura waliosajiliwa | Local authority |
---|---|---|
Chania | 5,145 | Nyeri municipality |
Gatitu | 8,463 | Nyeri municipality |
Kamakwa | 8,616 | Nyeri municipality |
Karia | 4,763 | Nyeri municipality |
Kiganjo | 3,491 | Nyeri municipality |
Kirichu | 3,521 | Nyeri municipality |
Mukaro | 4,731 | Nyeri County |
Muruguru | 3,992 | Nyeri municipality |
Nyaribo | 667 | Nyeri municipality |
Nyeri Central | 13,876 | Nyeri municipality |
Total | 57,265 | |
*Septemba 2005 | [2] |
Marejeo
hariri- ↑ [0] ^Muungano wa Kidemokrasia 'Center for Multiparty Democracy': Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya nje
hariri- Nyeri Town Constituency Archived 25 Novemba 2010 at the Wayback Machine.