Ennica Mukomberanwa

Mchongaji kutoka nchini Zimbabwe

Ennica Mukomberanwa (alizaliwa 1978) ni msanii wa sanaa za uchongaji nchini Zimbabwe. Ni binti wa Grace Mukomberanwa na Nicholas Mukomberanwa. Alifunzwa na kizazi cha kwanza cha wachonga sanamu.

Ennica Mukomberanwa
Nchi Zimbabwe
Kazi yake Msanii

Kazi zake zinaonyeshwa katika nyumba za maonyesho duniani kote. [1] Ni kizazi cha tatu cha wachonga Sanaa Zimbabwe. Mnamo mwaka 2004 alizawadiwa tuzo ambayo ilimruhusu kusafiri kwenda Stockholm, Copenhagen, Scotland, na Kanada. Ni mwanafamilia katika familia ya wasanii wachongaji na wazazi wake walikuwa ndio washauri wake wakuu katika masuala ya sanaa. [1] Ni dada wa wachonga sanaa Anderson, Netsai, Taguma, Tendai Mukomberanwa na Lawrence Mukomberanwa, na binamu wa Nesbert Mukomberanwa

Kazi zake zilihusisha sana mila za Washona na mara nyingi alichonga sanamu ndogo na pia alichonga sanamu kubwa kadhaa.[1][2] .[1][2] Akiwa miongoni mwa wasanii walioshirikishwa katika onyesho la kimataifa la wachonga sanamu lililofanyika uko Andres Institute of Art , New Hampshire, mwaka 2014 ambapo alifanya kazi na jiwe la granit.[3][4]

Elimu hariri

Mukomberanwa alisomea masuala ya elimu na rasilimali watu. [5]

Tuzo hariri

  • "The Fisherman" – Best Sculptor on Show, National Gallery of Art, Zimbabwe 2005[6]
  • Woman Artist of the Year" Tuzo ya Mmsanii bora wa kike – 2004

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 1.2 "Ennica Mukomberanwa : Biography, Photographs and Sculpture samples of Zimbabwe Sculpture artist Ennica Mukomberanwa". Zimsculpt.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-21. Iliwekwa mnamo 2012-01-26. 
  2. "Ennica Mukomberanwa". Friends Forever Zimbabwe. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 January 2012. Iliwekwa mnamo 2012-01-26.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  3. "The Hippo : New Hampshire's Weekly  : International art". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-05. Iliwekwa mnamo 22 December 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-05. Iliwekwa mnamo 2021-03-20. 
  5. "Bildhauer aus Simbabwe – Galerie Hafenliebe". Iliwekwa mnamo 22 December 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-18. Iliwekwa mnamo 2014-10-14.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ennica Mukomberanwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.