Enuka Okuma

Muigizaji wa kike raia wa Kanada

Enuka Vanessa Okuma (alizaliwa mnamo 20 Septemba 1976, ni mwigizaji kutoka nchini Kanada, anajulikana kwa umaarufu wake wa kuigiza katika Global Television Network. American Broadcasting Company|ABC police drama series, Rookie Blue (20102015). Okuma pia anajulikana kwa kazi yake ya uigizaji katika filamu ya mfululizo wa televisheni iitwayo Madison (TV series) (19941998) na Sue Thomas: F.B.Eye (20022005).


Amezaliwa Enuka Vanessa Okuma
20 Septemba 1976
Vancouver, British Columbia, Canada
Majina mengine Enuka Okuma
Kipindi 1990-mpaka leo
Ndoa Mme, Joe Gasparik
Tovuti http://www.enukaokuma.com/


Okuma kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu Toronto 2014.
Okuma kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu Toronto 2014.

Maisha ya awali hariri

Okuma alizaliwa katika mji wa Vancouver, British Columbia.[1] yeye asili yake ni wa Nigeria kutokea Igbo.[2]

Kazi ya awali hariri

Mnamo mwaka 1990, alianza kazi yake katika kipindi cha televisheni akionekana mara kwa mara karibu na wengine katika kipindi cha kwanza cha 'Teen soap opera', Hillside. Katika mwaka 1990, pia alicheza kama msaidizi kaitika filamu mbalimbali zinazorushwa katika televisheni nchini Kanada, kama vile Madison.

Maisha binafsi hariri

Mnamo Julai 2, 2011 alifunga ndoa na mwanamuziki Joe Gasparik.[3][4]

Marejeo hariri

  1. "Enuka Okuma Biography". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 April 2015. Iliwekwa mnamo 17 March 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-16. Iliwekwa mnamo 2020-10-31. 
  3. "enuka okuma - the official site". Iliwekwa mnamo 17 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Actress Enuka Okuma's Movie-Inspired Wedding". Ndani Weddings. Iliwekwa mnamo 31 January 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enuka Okuma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.