Epiphany
Epiphany ni albamu ya pili kutoka kwa msanii wa utunzi a uimbaji wa R&B T-Pain. Kibao rasmi cha kwanza kutoka kwenye albamu ni pamoja na "Buy U a Drank (Shawty Snappin')".
Epiphany | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya T-Pain | |||||
Imetolewa | 5 Juni 2007 (Tazama historia ya matoleo) |
||||
Imerekodiwa | 2006-2007 | ||||
Aina | R&B Hip Hop Dance |
||||
Urefu | 56:10 | ||||
Lebo | Konvict Muzik Jive Records Zomba Label Group |
||||
Mtayarishaji | T-Pain | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za T-Pain | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Epiphany | |||||
|
Epiphany iliingia kwenye chati za Billboard 200 ikiwa nafasi ya kwanza - huku ikiwa imeuza nakala 171,126 katika wiki yake ya kwanza na baadaye ikauza zaidi ya 819,000 kunako mwezi wa Mei 2008[1][2] Albamu ilitolewa mnamo tar. 5 Juni 2007, imeipita kidogo tu albamu ya Rihanna, Good Girl Gone Bad, ambayo pia ilitolewa kunako tar. 5 Juni kwenye chati za albamu za Billboard 200. Kitangulizi, "Tallahassee Love" akishirkiana na Nappy Boy Entertainment's Jay Lyriq wame- sampuli kibao cha 2Pac cha "California Love". "I Got It" na "Suicide" inashughulika na masuala ya HIV/AIDS na imeonekana inawiana vilivyo.
Orodha ya nyimbo
hariri# | Jina | Urefu |
---|---|---|
1. | "Tallahasse Love (Intro)" (featuring Jay Lyriq) | 2:04 |
2. | "Church" (featuring Teddy Verseti) | 4:01 |
3. | "Tipsy" | 3:09 |
4. | "Show U How" | 3:14 |
5. | "I Got It" (skit) | 1:54 |
6. | "Suicide" | 2:58 |
7. | "Bartender" (akishirikiana na Akon) | 3:58 |
8. | "Backseat Action" (akishirikiana na Shawnna) | 3:39 |
9. | "Put It Down" (akishirikiana na Ray Lavender) | 3:40 |
10. | "Time Machine" | 2:52 |
11. | "Yo Stomach" (akishirikiana na Tay Dizm) | 4:18 |
12. | "Buy U a Drank (Shawty Snappin')" (akishirikiana na Yung Joc) | 3:48 |
13. | "69" (akishirikiana na Jay Lyriq) | 3:25 |
14. | "Reggae Night" (skit) | 1:37 |
15. | "Shottas" (akishirikiana na Kardinal Offishall na Cham) | 3:14 |
16. | "Right Hand" | 3:13 |
17. | "Sounds Bad" | 5:05 |
Historia ya matoleo
haririNchi | Tarehe |
---|---|
United States | Juni 5, 2007 |
Ujerumani | Juni 6, 2007 |
Italia | Juni 12, 2007 |
Ugiriki | Agosti 21, 2007 |
Mexiko | |
Ufaransa | Mei 19, 2008 |
Uingereza | Mei 30, 2008 |
Nafasi ya chati
haririChati (2007) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
U.S. Billboard 200 | 1 |
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums | 1 |
Marejeo
hariri- ↑ Katie Hasty, "T-Pain Soars To No. 1 Ahead Of Rihanna, McCartney" Archived 16 Juni 2007 at the Wayback Machine., Billboard.com, 13 Juni 2007.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-07-19. Iliwekwa mnamo 2010-04-21.