Erin Victoria Holland (amezaliwa tarehe 21 Machi 1989) ni mwimbaji, mtangazaji wa runinga, mwanamitindo, mchezaji densi, mfanyakazi wa misaada na mshindi wa mashindano ya urembo kutoka Australia. Alishinda taji lake la kitaifa Miss World Australia tarehe 20 Julai 2013.[1][2][3]

Holland katika Australian Fashion Week mwaka 2021.



Marejeo

hariri
  1. Koha, Nui Te (2013-07-22). "Sydney opera singer Erin Holland takes Miss World Australia title". The Daily Telegraph. Iliwekwa mnamo 2023-12-23.
  2. Lodhi, Rida (2022-02-09). "Why Pakistan's love for Erin Holland isn't one-sided affair". The Express Tribune (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-02-22.
  3. "Ben Cutting marries his long time girlfriend and cricket presenter Erin Holland". CricTracker (kwa Kiingereza). 2021-02-14. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-15. Iliwekwa mnamo 2022-03-18.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Erin Holland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.