Erzincan (Kizazaki; Kikurdi: Erzingan, Kiarmenia: Երզնկա, Erznka, zamani: Erez) ni mji mkuu wa Jimbo la Erzincan katika mashariki mwa mkoa wa Anatolia ya Uturuki. Miji inayopakana nayo ni pamoja na Erzurum, Sivas, Tunceli, Bingöl, Elazığ, Malatya, Gumushane, Bayburt, na Giresun. Mji una wakazi wapatao 107,175 (kwa sensa ya 2000). Taratibu za hali ya hewa ya huko ni theluji, baridi, na kiangazi cha wastani.

Mji wa Erzincan

Viungo vya Nje

hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Erzincan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.