Eufrosina wa Aleksandria
Eufrosina wa Aleksandria (aliishi katika karne ya 5) alikuwa mwanamke Mkristo wa Misri, mtoto wa tajiri Pafnusi, anayesemekana kuwa alivaa kama mwanamume ili kuishi monasterini.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe mbalimbali, hasa 25 Septemba[1].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |