Pafnusi wa Aleksandria

Pafnusi wa Aleksandria (aliishi katika karne ya 5) alikuwa Mkristo tajiri wa Misri aliyemaliza maisha yake monasterini kwa kufuata mfano wa binti yake Eufrosina.

Mchoro mdogo ukimuonyesha Mt. Eufrosina akijitambulisha kwa Pafnusi, baba yake, wakati wa kufa.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Septemba[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.