Eusebi, Karalampo na wenzao
Eusebi, Karalampo na wenzao ni kundi la Wakristo wa Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki) ambao waliuawa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].
Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |