Eusebi wa Bologna (alifariki Bologna, Italia, 390 hivi) alikuwa askofu wa 5 wa mji huo katika karne ya 4 na alimuunga mkono Ambrosi wa Milano dhidi ya Uario na katika kuhamasisha ubikira[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 26 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.