Eustasi wa Napoli (karne ya 2 - nusu ya kwanza ya karne ya 3) alikuwa askofu wa 7 wa mji huo kwa miaka 17 [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Leo XIII mwaka 1884[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Machi[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Gesta episcoporum Neapolitanorum Archived 2018-05-07 at the Wayback Machine, in Monumenta Germaniae Historica, Scriptores. Scriptores rerum Langobardicarum et Italicarum saec. VI-IX, p. 404. Catalogus episcoporum Neapolitanorum Archived 2018-05-07 at the Wayback Machine, in id., p. 436.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/47610
  3. Index ac status causarum (1999), p. 425.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.