Papa Leo XIII (2 Machi 181020 Julai 1903) alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Februari/3 Machi 1878 hadi kifo chake[1]. Alitokea Carpineto Romano, Italia[2].

Papa Leo XIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Vincenzo Gioacchino Raffaele Luigi Pecci.

Alimfuata Papa Pius IX (1846-78) akafuatwa na Papa Pius X.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.