Eutiki wa Roma (alifariki Roma, karne ya 4 hivi) alikuwa Mkristo wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa ajili ya imani yake [1]. Kwanza alizuiwa muda mrefu asipate chakula wala usingizi, halafu akatupwa gemani.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.