Eutimio wa Aleksandria

Eutimio wa Aleksandria (alifia dini Aleksandria, Misri, 305) alikuwa shemasi aliyekamatwa kwa ajili ya imani yake na hatimaye kufa gerezani labda kwa njaa[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Mei[2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. www.santiebeati.it/dettaglio/51910
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  3. https://catholicsaints.info/saint-euthymius-of-alexandria/
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.