Eutropia wa Aleksandria

Eutropia wa Aleksandria (alifia dini 250 hivi) alikuwa mwanamke wa mji huo (nchini Misri) ambaye aliuawa kikatili wakati wa dhuluma ya kaisari Decius. Inasemekana alikatwa kichwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Oktoba[1][2].

Inawezekana kuwa ni yuleyule anayeheshimiwa siku hiyohiyo kwa jina la Eutropia wa Afrika Kaskazini[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.