Evodi wa Rouen
Evodi wa Rouen (pia: Évode, Evodius, Yved, Yves, Ysoie, Yvoize, Yvoire, Lisoie; alifariki Andelys, 422) alikuwa askofu wa 9 wa Rouen, Ufaransa [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |