Fausto wa Riez (Britania[1], 400/410 - Ufaransa Kusini, 490 hivi) alikuwa askofu wa mji huo na mwanateolojia maarufu aliyepinga Upelaji [2].

Mt. Fausto katika dirisha la kioo cha rangi, Riez.

Kabla ya hapo alikuwa msomi, akajiunga na monasteri ya Lerins akawa abati wake[3] kwa miaka 20-30[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu na babu wa Kanisa.

Sikukuu yake ni tarehe 28 Septemba[5][6].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Maandishi yake

hariri
  • Opera Omnia by Migne Patrologia Latina with analytical indexes
  • Faustus Reiensis (1891). Augustus Engelbrecht (mhr.). Favsti Reiensis Praeter sermones psevdo-evsebianos opera. Corpus Scriptorum Ecclesiasticorum Latinorum, XXI (kwa Latin). Prague-Vienna-Leipzig: F. Tempsky.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link) Barua na hotuba zake

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.