Felisi, Adaukti, Januari, Fortunati na Septimi

Felisi, Adaukti, Januari, Fortunati na Septimi ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini (Algeria ya leo) waliofia dini yao.

Kati yao Felisi alikuwa askofu, Adaukti na Januari mapadri.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yao, ila tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 24 Oktoba.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.