Felisi wa Bologna (karne ya 4 - Bologna, leo nchini Italia, 4 Desemba 432) alikuwa askofu wa 7 wa mji huo kuanzia mwaka 397 hivi hadi kifo chake.

Kabla ya hapo alikuwa shemasi wa Ambrosi huko Milano aliyewahi kumtuma kwa kaisari Theodosi I [1] [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kwenye 4 Desemba[3].

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.