Fibisi wa Trier (kwa Kilatini: Fibicius; alifariki Trier, leo nchini Ujerumani, 525 hivi) alikuwa askofu wa mji huo [1] kuanzia mwaka 511[2][3].

Kabla ya hapo alikuwa abati wa monasteri[4] .

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Novemba[5][6] .

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Hans Hubert Anton: Trier im frühen Mittelalter (= Quellen und Forschungen aus dem Gebiete der Geschichte. N.F., 9). Paderborn u. a. 1987, ISBN 3-506-73259-5, pp. 87f.
  • Vollständiges Heiligen-Lexikon, Band 2. Augsburg 1861, p. 202. Online version (Kijerumani)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.