Financial Times (FT) ni gazeti la biashara la kimataifa kutoka nchini Uingereza. Ni gazeti ambalo hutolewa kila siku asubuhi na huchapishwa katika sehemu 24 huko London.[1] Gazeti hili, ni mshindani mkubwa kabisa wa gazeti lenye makao yake makuu huko New York City-Wall Street Journal. Hivi sasa, mhariri wake ni Lionel Barber.

Financial Times, 23 Aprili 2007

Ilianzishwa mwaka wa 1888 na James Sheridan na ndugu yake, Financial Times hushindana na magazeti mengine manne ya kibiashara, mwaka 1945 iliipita gazeti la Financial News (lililoanzishwa mnamo mwaka 1884). Kwa kipindi hicho, FT wao walikuwa wamejikita katika habari za kibiashara na fedha, wakati huohuo walikuwa wakijipanga kuja na mwonekano mwingine wa kujitegemea. FT ni gazeti pekee linalotoa habari za biashara na Soko la hisa la London kila siku huko nchini Uingereza.

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Financial Times kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.