Flanani
Flanani (pia: Flannán, Flannanus) alikuwa mmonaki hodari wa karne ya 7[1] ambaye alipata kuwa askofu wa Killaloe nchini Ireland akahubiri hadi Uskoti[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Desemba[3][4].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Ware, James (1639). "Cap. XIII: De biographis ætatis incertæ". De scriptoribvs Hiberniæ (kwa Kilatini). Juz. la Liber primus. Dublin: Societatis Bibliopolarum. uk. 91.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/82070
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ "St. Flannan - Saints & Angels". Catholic Online (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-02.
Vyanzo
hariri- "Saint Flannan". Library Ireland. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |