Flora wa Beaulieu

(Elekezwa kutoka Flora wa Cahors)

Flora wa Beaulieu (kwa Kifaransa: Fleur, Flore, Flor de Issendolus; Maurs, Ufaransa, 1300 hivi - Issendolus, Ufaransa, 1347) alikuwa bikira wa familia ya kiroho ya Utawa wa Mt. Yohane[1] ambaye alijitosa kuhudumia hospitalini[1] wagonjwa fukara akashiriki kiroho na kimwili mateso ya Yesu [2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Oktoba [3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. 1.0 1.1 Philippe Rouillard, BSS, vol. V (1964), col. 929.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/92198
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo

hariri
  • (Kiitalia) Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  • (Kifaransa) Edmond Albe, « Les religieuses hospitalières de l'ordre de Saint-Jean de Jérusalem au diocèse de Cahors », Revue d'histoire de l'Église de France, no 112,‎ 1941, p. 180-220
  • Kigezo:Oc Clovis Brunel (éditeur), « Vida e miracles de sancta Flor », dans Analecta Bollandiana, t. LXIV, Bruxelles, 1946, chap. I et II, p. 5-49, compte rendu par Jacques Monfrin, dans Bibliothèque de l'École des chartes, 1948, t. 107,no 1, p. 128-129
  • (Kifaransa) Bernard Montagnes, « Une sainte quercynoise de l'ordre de l'Hôpital : sainte Fleur (†1347) », dans Les ordres religieux militaires dans le Midi (XIIe – XIVe siècle), Toulouse, éditions Privat, coll. « Cahiers de Fanjeaux 41 », 2016 (ISBN 978-2-7089-3455-9), p. 115-135

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.