Fokas wa Sinope

Fokas wa Sinope (alifariki Sinope, leo nchini Uturuki, 300 hivi) alikuwa mtunzabustani ambaye alitumia mazao yake kulisha fukara na Wakristo waliodhulumiwa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1]. Aliuawa kikatili kwa imani ya Kikristo [2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[4].

Sikukuu yake ni tarehe 5 Machi[5].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.