Fortunatus Lukanima

Fortunatus Lukanima (8 Desemba 1940 - 12 Machi 2014) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka 1989. Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Arusha hadi 1998, alipojiuzulu.

Baadaye alifanya uchungaji kwao Ukerewe hadi kifo chake.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fortunatus Lukanima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fortunatus Lukanima kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.