Fraterno wa Auxerre

Fraterno wa Auxerre (alifariki Auxerre, leo nchini Ufaransa, 451 hivi) alikuwa askofu wa 7 wa mji huo kuanzia mwaka 448[1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 29 Septemba[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Picard, Espace urbain et sépultures épiscopales à Auxerre, p. 211.
  2. Martyrologium Hieronymianum, in Acta Sanctorum Novembris, II (1894), p. [127].
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/72430
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.