Frumensi wa Susa (alifariki 484) alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki katika mji wa Susa (Tunisia ya leo).

Aliuawa katika dhuluma ya Huneriki, mfalme wa Wavandali, pamoja na Viktoriani na wengineo.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Machi[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.