Genova
Genova ni mji wa Italia katika mkoa wa Liguria. Ndiyo makao makuu ya mkoa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, kuna wakazi wapatao 610,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 20 juu ya usawa wa bahari.
Genova | |
Majiranukta: 44°24′20″N 8°55′58″E / 44.40556°N 8.93278°E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Liguria |
Wilaya | Genova |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 610,741 |
Tovuti: www.comune.genova.it |
Sehemu ya mji imo katika orodha ya urithi wa dunia wa UNESCO.
Tazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya nje
hariri- (Kiitalia) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Genova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |