Genseriki

Mfalme wa Vandali na waalani

Genseriki (Ziwa Balaton, leo nchini Hungaria, 389 hivi – Karthago, leo nchini Tunisia, 25 Januari 477) alikuwa mfalme wa Wavandali na Waalani kwa karibu miaka 50 (428477), akiinua makabila haya madogo kuwa ufalme imara katika Afrika Kaskazini uliotikisa Dola la Roma Magharibi katika karne ya 5 hata kuteka jiji hilo kwa muda mnamo Juni 455.

Katika historia ya Kanisa ni maarufu kwa kudhulumu kikatili Wakatoliki wa Afrika Kaskazini hivi kwamba Waarabu Waislamu walipoiteka Ukristo ulikoma haraka.

Marejeo hariri

Marejeo mengine hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Genseriki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.