Geroldi (Retia, 900 hivi - Frisun, Vorarlberg, leo nchini Austria, 978) alikuwa Mkristo wa ukoo bora aliyeacha mke na watoto akaishi kama mkaapweke[1].

Mt. Geroldi katika dirisha la kioo cha rangi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.