Vorarlberg ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 372,791 kwenye eneo la km² 2,601.

Sehemu ya Jimbo la Vorarlberg
Mahali pa Vorarlberg katika Austria
bendera ya Vorarlberg

Mji mkuu ni Bregenz. Waziri mkuu ni Herbert Sausgruber (ÖVP).

Jiografia hariri

Vorarlberg imepakana na Ujerumani na majimbo ya Tirol.

Miji mikubwa ni pamoja na Dornbirn na Bregenz.

Picha za Vorarlberg hariri

Tovuti za Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Majimbo ya Austria
 
Austria Chini (Niederösterreich)Austria Juu (Oberösterreich)BurgenlandKarinthia (Kärnten)SalzburgSteiermarkTirolVienna (Wien)Vorarlberg
  Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vorarlberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.