Heal the World
"Heal the World" ni wimbo wa Michael Jackson kutoka katika albamu yake kali ya Dangerous, iliyotolewa mnamo mwaka wa 1991. muziki wa video wa wimbo huu unaonyesha watoto wadogo wanaoshi katika maisha magumu na ya tabu - hasa yale yasiyopumzika katika hali ya kivita. Na ni video pekee ambayo Michael Jackson hakuonekana yeye mwenyewe, nyingine yake ni "Cry", "HIStory" na "Man in the Mirror". (Vipande vya kwenye wimbo wa "HIStory" na "Man in the Mirror" imemwonyesha Michael Jackson kidogo sana hasa kama kwenye kihifadhio). Video pia unamaarufu kwa kuonekana kwa 50 Cent wakati yuko bwana mdogo [1].
“Heal the World” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Dangerous | |||||
Imetolewa | Novemba, 1992 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1991 | ||||
Aina | R&B, Soul | ||||
Urefu | 6:25 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson David Foster | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
Ilivyopokelewa
haririWimbo umefika nafasi ya #2 katika chati za UK Singles Chart kunako mwezi wa Desemba 1992, imewekwa kando kutoka nafasi ya #1 na wimbo wa Whitney Houston wa I Will Always Love You". Wimbo huu haukufanya vizuri kabisa kabisa katika Marekani, na ulifikia nafasi ya #27 kwenye chati za Billboard Hot 100, na kuufanya uwe wimbo wake wa pili kutofikia hata Ishirini Bora.
Orodha ya Nyimbo
haririToleo Halisi
hariri- "Heal the World" (7" edit) – 4:31
- "Heal the World" (Album version) – 6:25
- "She Drives Me Wild" – 3:41
- "Man in the Mirror" – 4:55
Visionary Single
hariri- CD side
- "Heal the World" (7" edit)
- "Will You Be There"
- DVD Side
- "Heal the World" (Music video)
Mamixi Yake
hariri- Album version – 6:25
- 7" edit w/intro
- 7" edit
- Spoken
Chatis
haririChati (1992/1993) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart | 20 |
Austrian Singles Chart | 4 |
Canadian Singles Chart | 9 |
Dutch Singles Chart | 4 |
Eurochart Hot 100 Singles | 2 |
French Singles Chart | 2 |
German Singles Chart | 3 |
Irish Singles Chart | 2 |
Israeli Singles Chart | 2 |
New Zealand RIANZ Singles Chart | 3 |
Norwegian Singles Chart | 3 |
Spanish Singles Chart | 1 |
Swedish Singles Chart | 15 |
Swiss Singles Chart | 5[2] |
UK Singles Chart | 2 |
US Billboard Hot 100 | 27 |
US Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 62 |
US Billboard Hot Adult Contemporary Tracks | 9 |
Chati (2006) | Nafasi Iliyoshika |
Dutch Singles Chart | 40 |
French Singles Chart | 60 |
Spanish Singles Chart | 1 |
Italian Singles Chart | 13 |
Chati (2009) | Nafasi Iliyoshika |
Australian ARIA Singles Chart | 26 |
Austrian Singles Chart | 22 |
Danish Singles Chart | 7 |
Dutch Singles Chart | 46 |
German Singles Chart | 18 |
Irish Singles Chart | 22 |
New Zealand Singles Chart | 19 |
Norwegian Singles Chart | 3 |
Swedish Singles Chart | 18 |
Swiss Singles Chart | 9[2] |
UK Singles Chart | 44[3] |
Matunukio
haririNchi | Matunukio | Mauzo |
---|---|---|
Ujerumani | Dhahabu[4] | 250,000 |
New Zealand | Gold[5] | 7,500[6] |
Marejeo
hariri- ↑ "Heal The World (Music Video)". Epic Records. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
- ↑ 2.0 2.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
- ↑ "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
- ↑ http://www.musikindustrie.de/gold_platin_datenbank/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-07-25.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url=
ignored (help) - ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2009-07-25.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Heal the World kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |