Godfrey Walusimbi

Mwanasoka wa Uganda

Godfrey Walusimbi (alizaliwa 3 Julai 1989) ni mchezaji wa soka wa Uganda ambaye anacheza katika klabu ya Gor Mahia F.C iiliyopo katika Ligi Kuu ya Kenya.

Yeye ni beki wa kushoto lakini amekuwa akicheza katika nafasi kadhaa na Bobby Williamson katika timu ya taifa.

Tarehe 12 Juni 2011 alikwenda Sweden kwa ajili ya majaribio na klabu ya Allsvenskan upande BK Hacken.

CS Don Bosco

hariri

Mnamo Januari 2013,alitokea katika klbu ya Bunamwaya huko DRC Congo na kuhamia katika klabu ya CS Don Bosco. Baada ya kutumia miezi michache na timu hiyo alirudi kwenye timu yake ya zamani iitwayo SC Villa.

Gor Mahia

hariri

Mnamo Desemba 2013, Walusimbi alijiunga na klabu ya Premier League ya Kenya iitwayo Gor Mahia ambako alishirikiana na kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uganda Bobby Williamson.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Godfrey Walusimbi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.