Guntram (pia: Gontran, Gontram, Guntram, Gunthram, Gunthchramn, Guntramnus; Soissons, Aisne, leo nchini Ufaransa, 532 hivi - Chalon-sur-Saône, leo nchini Ufaransa, 28 Machi 592) alikuwa mfalme wa Wafaranki huko Orleans na Burgundy tangu mwaka 561[1][2].

Mchoro mdogo wa Mt. Guntram na Kildebert II.

Alikuwa na tabia mbaya na kutenda dhambi nyingi, lakini imani ilimuongoza kuheshimu Kanisa na viongozi wake, kujenga monasteri na kuhamasisha uinjilishaji, kupatanisha ndugu zake[3], kusaidia maskini na kuwaombea kwa kufunga mwenyewe[4].

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Machi[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Butler, Rev Fr Alban (Mei 2009). Lives of the Saints: For Every Day in the Year (kwa Kiingereza). TAN Books. uk. 220. ISBN 9781618903075.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ian Wood, The Merovingian Kingdoms 450–751 (Longman Group, 1994), 56.
  3. "Medieval Sourcebook: (St.) Gregory of Tours: History of the Franks (Decem Libri Historiarum)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-14. Iliwekwa mnamo 2021-03-24.
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/47500
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.