Gunung Arjuna ni mlima wenye kimo cha m 3,339 juu ya usawa wa bahari.

Arjuno-Welirang, ukionekana kutokea mlima, urefu 3339m.

Uko Indonesia katika kisiwa cha Java.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gunung Arjuna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.