Mkoa wa Hardap
(Elekezwa kutoka Hardap)
Mkoa wa Hardap ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 67,998 kwenye eneo la 109,888 km². Mji mkuu ni Mariental.
Jiografia
haririMiji mikubwa ni pamoja na Walvis Bay na Swakopmund.
Picha za Hardap
hariri-
Lambo la Hardap
-
Sossusvlei katika jangwa la Namib
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Hardap kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa |