Mkoa wa Karas
Mkoa wa Karas ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 69,677 kwenye eneo la 161,325 km². Mji mkuu ni Keetmanshoop.

Mahali pa Karas katika Namibia
JiografiaEdit
Miji mikubwa ni pamoja na Keetmanshoop na Lüderitz.
Picha za KarasEdit
Bandari ya Lüderitz
Tovuti za NjeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Karas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa |