Mkoa wa Erongo
Mkoa wa Erongo ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 107,629 kwenye eneo la 63,720 km². Mji mkuu ni Swakopmund.

Mahali pa Erongo katika Namibia
JiografiaEdit
Miji mikubwa ni pamoja na Walvis Bay na Swakopmund.
Picha za ErongoEdit
katika jangwa la Namib
Tovuti za NjeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Erongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa |